Lile sakata la kila mmiliki wa simu kulipa shilingi 1000 kwa kila sim card anayoimiliki limeingia katika sura mpya baada ya Naibu waziri wa mawasiliano,sayansi na teknolojia Mheshimiwa January Makamba kumtaka Mbunge wa Ubungo John Mnyika kuacha 'unafiki' wa kujitetea kuhusu kodi ya laini za simu maana wote walilipitisha bungeni,Ambapo mh.January Makamba ame-Tweet hivi katika tweeter akisema.........
January Makamba @JMakamba 2h
Mnyika acha unafiki. Sote tumeshindwa kuwatetea wananchi on#SIMCardTax Bungeni. Turudi Bungeni tuondoe hii kitu sio kutapatapa mitandaoni
Wananchi tusubiri tuone mwisho wake.....!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment