Monday, July 15, 2013
Cheka kidougoooooooooo
Siku moja mkulima mmoja aliamka asubuhi kwenda kupalilia shamba lake...Njiani akakutana na SIMBA,,,,,,mkulima akaanza kupiga magoti na kufumba macho ki-uoga na kuanza kupiga sala zake za mwisho akiamini kuwa huenda anaweza akanusurika kwenye kucha za SIMBA....Alipomaliza sala akafungua macho na kushangaa kumuona SIMBA na yeye kapiga magoti huku kafumba macho...Mkulima akabaki anaduwaa...Mkulima akamuuliza simba 'KUMBE NA WEWE NI MKRISTO????'Simba akamwambia "INA-MAANA HUWA HAMSALI KABLA YA KULA????"mkulima chini,kilichoendelea pale mi nilikuta tu Jembe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment